Maandalizi ya KUBWA KULIKO usipime

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2019
Maandalizi ya KUBWA KULIKO usipime

Yanga imedhamiria kuandika historia Jumamosi hii inayokuja katika tukio kubwa la Harambee ya kuichangia timu hiyo

Tiketi zimeendelea kuuzwa kupitia mitandao ya simu Tigopesa na Mpesa ambapo kuanzia kesho Jumanne tiketi zitaanza kupatikana maeneo mbalimbali

Jana Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde na wajumbe wa kamati hiyo Richard Kalongola na Pelegrinius Rutayuga walifika studio za Azam TV kuweka sawa taratibu za urushwaji wa matangazo 'mbashara' kupitia kisimbuzi cha Azam

Leo Mavunde pamoja na timu yake, kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ya Yanga, watazungumza na waandishi wa Habari kutoa taarifa ya maandalizi ya tukio hilo la kihistoria

Kwa wale ambao hawana tiketi, wameaswa kujipatia tiketi mapema ili kuwa sehemu ya historia itakayoandikwa Jumamosi, Juni 15 2019

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’