Yanga yaongeza maeneo ya kuuza tiketi za KUBWA KULIKO

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2019
Yanga yaongeza maeneo ya kuuza tiketi za KUBWA KULIKO

Kamati ya Hamasa ya Michango ya Klabu ya YANGA chini ya Mwenyekiti Mh. Anthony P. Mavunde kwa kushirikina na Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Dr. Mshindo Msolla imesogeza tiketi jirani kabisa na wanayanga kurahisisha zoezi hili kwa Kila mtu.

USALAMA WA TIKETI HIZI

Tiketi hizo zina security feature tatu Kama ifuatavyo:

1. Unique QR code ambayo Lazima itambulike na mfumo wetu

2. Hologram unique for each ticket

3. Zitakuwa zimegongwa muhuri wa moto

TIKETI HIZI UTAZITAPA LINI NA WAPI

Kuanzia Kesho Jumanne 11/06/2019 unaweza kujipatia Ticket yako ya KUBWA KULIKO maeneo yafuatayo;

1. Clouds,
2. EFM
3. AZAM
4. Just fit Victoria,
5. Born To Shine Mwenge,
6. Mr Price,
7. Klabuni Yanga,
8. Big Respect Kariakoo,
9. Engen Petrol Station Mbezi Beach,
10. Flamingo Pharmacy TABATA,
11.Jerry Pamba Kali,
12.Wema Sepetu Shop
13. Vunja Bei Sinza,
14. Dar live Mbagala,
15. Mac Juice Sinza,
16. Fettylicius,
17. Dick Sound Magomeni. 
18. Masai Pub Kinondoni

NUNUA TIKETI YAKO SASA ILI UWE SEHEMU YA TUKIO HILI LITAKALORUSHWA MOJA KWA MOJA NA AZAM SPORTS 2

DEO MUTTA
KATIBU WA HAMASA

YANGA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’