Nahodha msaidizi wa Yanga Thabani Kamusoko hayumo katika kikosi kinachoivaa Majimaji leo kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.
Kocha wa Yanga George Lwandamina ameamua kumuanzisha Raphael Daudi nafasi yake na hii ni kutokana na mchezaji huyo kutokuwa fiti baada ya kukabiliwa na majeraha ya nyonga.
Jana Daktari wa Yanga, Dk Edward Bavu alisema mchezaji huyo alifanya mazoezi ya jioni vizuri hivyo alimuachia mwalimu uamuzi wa kumtumia au la.
Aidha winga Geofrey Mwashiuya amerejea kwenye kikosi cha kwanza baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki sita kutokana na majeraha ya goti.

ADVERTISE HERE