Ajib, Mkude watemwa Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2019
Ajib, Mkude watemwa Stars

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike amewaengua wachezaji saba katika kikosi chake kinachoelekea Misri leo kuendelea na maandalizi ya michuano ya AFCON 2019

Wachezaji walioachwa kwenye kikosi cha wachezaji 32 wanaoelekea Misri ni Jonas Mkude, Ibrahimu Ajibu, Ayoub Lyanga, Ally Khamis, Kenned Wilson, Ally Ally na Shomari Kapombe.

Amunike amesema kwamba kigezo kilichotumika kuwaacha nyota hao ni kiwango chao mazoezini na nidhamu.

Stars inasafiri na jumla ya wachezaji 32 kwenda Misri kabla ya kuchujwa katika hatua ya mwisho na kubaki 23

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’