Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Salum Mkemi ametuthibitishia kuwa Uwanja wa Kaunda utafanyiwa marekebisho makubwa ili uanze kutumika kwa ajili ya mazoezi ya klabu.
Tayari mkataba umesainiwa kati ya Yanga na kampuni moja ya China iliyopewa tenda ya kurekebisha uwanja huo ulio Makao Makuu ya klabu, Jangwani.
Hii ni hatua ya kupongezwa kwa uongozi wa Yanga kwani sasa Yanga itaachana na matumizi ya viwanja vya kukodi.

ADVERTISE HERE