Kiungo wa zamani Mtibwa Sugar ahusishwa na Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2019
Kiungo wa zamani Mtibwa Sugar ahusishwa na Yanga

Jina la Hamis Mroki ni geni miongoni mwa mashabiki wa soka Tanzania, hata hivyo nyota huyo aliwahi kuitumikia Mtibwa Sugar na timu za Taifa za vijana

Alipata nafasi ya ya kucheza soka barani Ulaya, sasa anacheza huko Thailand

Inaelezwa kiungo huyo yuko kwenye maungumzo na uongozi wa Yanga ili kumuongeza katika kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao

"Kuna mazungumzo yanaendelea lakini kwa sasa siwezi kusema kama ntakuwa nao (Yanga) au timu nyingine"

"Kikubwa mimi ni mchezaji huru naweza kufanya mzaungumzo ya timu yoyote," amesema

Mroki amewahi kufanya majaribio katika Academy ya Manchester City

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’