Nahodha wa zamani wa Yanga Kelvin Yondani leo ameshiriki mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam Fc utakaopigwa keshokuwa Jumanne uwanja wa Uhuru
Yondani alikosa mazoezi ya Yanga kwa siku kadhaa hali iliyopelekea sintofahamu baina yake na kocha Mwinyi Zahera
Yanga imedhamiria kumaliza msimu kwa kishindo kwa kupata ushindi dhidi ya Azam Fc
ADVERTISE HERE