Yanga kuwaaga 'kwa heshima' wachezaji 'wanaosepa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 May 2019
Yanga kuwaaga 'kwa heshima' wachezaji 'wanaosepa'

Jumanne, May 28 2019 ligi kuu ya Tanzania Bara itafika tamati kwa timu zote 20 zinazoshiriki ligi hiyo kushuka viwanjani

Kama ilivyokuwa msimu uliopita, Yanga inamaliza msimu kwa kuumana na Azam Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Mabingwa hao wa kihistoria watautumia mchezo huo kuwaaga baadhi ya nyota wake ambao hawatakuwa na timu hiyo msimu ujao

Mcongomani Heritier Makambo na Ibrahim Ajib tayari wameaga, wakitarajiwa kuondoka klabuni hapo baada ya mchezo huo

"Ajib na Makambo wataondoka baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc. Tutautumia mchezo huo kuwaaga na kuwashukuru kwa mchango wao kwa timu yetu katika kipindi chote tulichokuwa nao," amesema Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh

cut

Mbali na wachezaji hao, wapo wengine ambao mikataba yao inamalizika na hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema baada ya mchezo huo watawapa mkono wa kwa heri wachezaji wote ambao hawataendelea kuitumikia Yanga

Zahera amesema Yanga iko mbioni kukamilisha usajili wa wachezaji nane ambao wanachukua nafasi za wachezaji watakaoachwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’