Uongozi wa Yanga umeanza kuhuisha mikataba ya wachezaji ambayo inamalizika mwishoni mwa msimu
Papi Tshishimbi amesaini mkataba wa miaka miwili kuendekea kubaki Jangwani
Tshishimbi amesaini mkataba mpya mbele ya Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela
Tshishimbi alikuwa akinyemelewa na Azam Fc
ADVERTISE HERE