Zahera ampa ushauri Ajib ili afanikiwe TP Mazembe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2019
Zahera ampa ushauri Ajib ili afanikiwe TP Mazembe

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amefichua kuwa aliwasiliana na viongozi wa TP Mazembe wiki tatu zilizopita kuhusu usajili wa kiungo Ibrahim Ajib

Zahera amesema kwa uwezo alioonyesha kwenye kikosi cha Yanga, Ajib anaweza kufanikiwa kukipiga TP Mazembe lakini ni lazima abadilike

"Nilisimulia na TP Mazembe wiki tatu zilizopita juu ya Ajib," amesema Zahera

"Sina wasiwasi na yeye kusajiliwa TP Mazembe sababu nafahamu ni mchezaji mzuri sana"

"Lakini inafaa akajitume sana ili kuweza kupata namba TP Mazembe"

"Mpira wa TP Mazembe ni mpira wa nguvu mingi, yafaa akatumike sana ili aweze kucheza"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
33m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’