Tunawapongeza watani zetu Simba kwa kufanikiwa kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita
Licha ya changamoto nyingi zilizoikabili ligi msimu huu, mafanikio waliyoyapata kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na ubora wa timu yao
Yanga tumemaliza nafasi ya pili, kwetu ni mafanikio kutokana na changamoto zilizotukabili msimu huu
Hongeren watani, hata hivyo bado mna safari ndefu ya kuifikia Yanga!
Leo mmefikisha mataji 20, Yanga ina mataji 27 kabatini!
Msimu ujao mtarajie ushindani mkali kutoka kwa mabingwa wa kihistoria, kwani tumepania kurejesha ubingwa Jangwani
Tukutane tena msimu ujao!
ADVERTISE HERE