Zahera, Makambo warejea, wawahi Iftar Gala Dinner

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2019
Zahera, Makambo warejea, wawahi Iftar Gala Dinner

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera pamoja na mshambuliaji wa timu hiyo Heritier Makambo, wamerejea nchini leo na kuungana na Wanayanga wengine kwenye hafla maalum ya Iftar Gala Dinner inayofanyika Hotel Serena jijini Dar es salaam

Zahera na Makambo waliondoka nchini mapema wiki hii ambapo juzi ilibainika Makambo kuwa nchini Guinea ambako alikamilisha usajili katika klabu ya Horoya AC

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alisema Makambo alisaini mkataba wa awali klabu ya Horoya lakini wanawasubiri maafisa wa timu hiyo waje kumalizana nao kabla ya kumruhusu kuitumikia timu hiyo

Hafla inaendelea hoteli ya Serena

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’