Yanga yaenda Songea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2017
Yanga yaenda Songea
Kikosi cha Yanga kimeondoka Alhamisi mchana kuelekea mkoani Ruvuma tayari kwa mchezo wa mzunguuko wa tatu ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Majimaji, Jumamosi, Septemba 16.


Awali timu hiyo ilikuwa iondoke Ijumaa asubuhi lakini viongozi wakakubaliana ni vyema kikosi kikawasili mapema Songea ili wachezaji wapate muda wa kutosha wa kupumzika.w

Yanga inashika nafasi ya 5 katika msimamo wa ligi ikiwa na alama 4 baada ya kutoa sare dhidi ya Lipuli FC na kisha kushinda dhidi ya Njombe Mji.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’