Kikosi cha Vijana cha Yanga kimezidi 'kutakata' ligi ya vijana U 20 baada ya leo kuichapa African Lyon mabao 3-1
Yanga imeshinda michezo yote mitatu iliyocheza mpaka sasa
Jumatatu May 20 itacheza na Azam FC
ADVERTISE HERE