Zahera aandaliwa mkataba mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2019
Zahera aandaliwa mkataba mpya Yanga

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera yuko mwishoni mwa mkataba wake aliosaini mwaka jana na wako kwenye mchakato wa kumpatia mkataba mpya

Licha ya changamoto za kiuchumi zilizoikabili Yanga msimu huu, Zahera alijitoa kufanya kazi katika mazingira magumu na kuisaidia Yanga kufanya vizuri kwenye ligi pamoja na kufika hatua ya nusu fainali michuano ya kombe la FA

Dk Msolla amesema Yanga itamuongezea mkataba wa muda mrefu

Katika hatua nyingine, Dk Msolla amesema baada ya mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting, uongozi utakutana na benchi la ufundi katika kikao ambacho watapokea ripoti ya kocha kuhusu maboresho ya timu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’