Wadau wapendekeza kocha Msaidizi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2019
Wadau wapendekeza kocha Msaidizi Yanga

Wakati Yanga ikijipanga kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, wadau wamependekeza kutafutwa kwa kocha Msaidizi ambaye atamsaidia Zahera

Inafahamika kocha Noel Mwandila aliletwa nchini na George Lwandamina aliyekuwa kocha wa Yanga msimu uliopita na jukumu lake lilikuwa kuwa kocha wa viungo

Hata hivyo baada ya kuondolewa Shedrack Nsajigwa, Yanga haikupata mbadala wake hivyo Mwandila kulazimika kushika majukumu hayo

Wengi wanaamini ni vyema Yanga ikapata kocha Msaidizi mzawa ambaye anawafahamu vizuri wachezaji wa Kitanzania na mwenye kuzijua 'fitna'za soka letu ili Mwandila abaki na majukumu yake aliyosomea

Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga Charles Mkwasa aliwahi kutangaza mchakato wa kutafutwa kocha Msaidizi.

Hata hivyo mchakato huo haukukamilika baada ya Mkwasa kuugua na kulazimika kuacha majukumu ya uongozi kutokana na maradhi ya moyo yaliyosababisha apelekwe India kutibiwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’