Mechi nne ligi kuu kupigwa leo, Yanga dimbani Jumanne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2019
Mechi nne ligi kuu kupigwa leo, Yanga dimbani Jumanne

Mchezo wa ligi kuu kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Yanga utapigwa Jumanne, May 14 kwenye uwanja wa Uhuru

Kesho Jumatatu Simba itachuana na Azam Fc katika mchezo utakaopigwa dimbani hapo

Michezo minne inatarajiwa kupigwa leo katika viwanja mbalimbali

Mpaka sasa African Lyon tayari imejihakikishia kuteremka daraja huku ushindani ukiwa mkali kwa timu nyingine 14

Timu moja itaungana na African Lyon kushuka daraja wakati timu nyingine mbili zitawania nafasi ya kubaki ligi kuu kwa kucheza na timu zitakazomaliza nafasi ya pili kutoka kila kundi ligi daraja la kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
47m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’