Kikosi cha Yanga kimeweka kambi mkoani Njombe kujiandaa na mzunguuko wa tatu wa ligi kuu ya Vodacom ambapo Yanga itashuka dimbani Jumamosi, Septemba 16 kuumana na Majimaji mkoani Ruvuma.
Kwa kuwa hali ya hewa ya mkoa wa Njombe haitofautiani sana na mkoa wa Ruvuma, benchi la Ufundi limeona ni vyema kufanya maandalizi Njombe.

Jana kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina alisema timu yake iliathiriwa na hali ya hewa ya baridi kali kwenye kipindi cha pili ilipochuana na Njombe Mji Jumapili iliyopita.

ADVERTISE HERE