Usiku wa kuamkia leo watu wasiojulikana wamevamia jengo la Prime House lililopo Mtaa wa Tambaza na kufanya uharibifu wa mali za wapangaji.
Katika Jengo hilo kuna ofisi ya Mawakili Prime Attorneys ambao ndio wanamtetea Mfanyabiashara Yusuph Manji anayekabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na matumizi ya dawa za kuleva.
Wakili Hudson Ndusyepo amethibitisha kuvamiwa kwa ofisi yao.
Inadaiwa kuwa watu hao wametoweka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha.

ADVERTISE HERE