Rostand - Yanga itaimarika zaidi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2017
Rostand - Yanga itaimarika zaidi
Kipa namba moja wa Yanga, Youthe Rostand amesema baada ya ushindi dhidi ya Njombe, sasa timu yao inakwenda vizuri na wataimarika kadri siku zinavyokwenda.

Rostand ambaye amejiunga na Yanga msimu huu akitoka African Lyon, alisema timu yao ilianza kwa kusuasua lakini baada ya ushindi wa juzi Jumapili mambo yatabadilika.

"Tunafurahi kupata ushindi maana baada ya hapa tutaanza kubadilika. Timu imeanza kucheza vizuri sasa na baada ya mechi kadhaa tutaona mabadiliko zaidi," alisema.

Katika mchezo huo dhidi ya Njombe Mji Yanga iliondoka na ushindi wa bao 1-0.

Rostand amemsifu straika wa Njombe Mji, Ditram Nchimbi kwamba alimpa changamoto kwa kupiga mashuti kadhaa langoni mwao kwani asingekuwa makini mambo yangekwenda mrama
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’