Kikosi cha Yanga leo jioni kimefanya mazoezi uwanja wa Samora yakiwa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Lipuli Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatatu, May 06 katika uwanja huo
Wakati mchakato wa uchaguzi ukihitimishwa jijini Dar es salaam, vijana wa Zahera wao wameendelea na majukumu yao wakiahidi kuipeleka Yanga fainali kesho
ADVERTISE HERE