Ibrahim Ajib na Gadiel Michael wote walizaliwa tarehe 12-09-1996, leo wanasherehekea siku ya kuzaliwa wakitimiza miaka 21.
Ni faraja iliyoje kuwa na vijana hawa kwenye kikosi cha Yanga. Yani ndio kwanza wametimiza miaka 21, bado wana miaka miiingi ya kusakata kabumbu.
Happy BirthDay Ajib, Happy BirthDay Gadiel.

ADVERTISE HERE