Tarehe kama ya leo alizaliwa mlinda lango Klaus Kindoki aliyetua Yanga mwanzoni mwa msimu
Mwanzoni maisha yake hayakuwa mazuri klabuni, hata hivyo uvumilivu na kujituma kumemfanya aimarike na kuwa kipa tegemeo kwa sasa Yanga akishirikiana na Ramadhani Kabwili
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY KINDOKI..
ADVERTISE HERE