Yanga yaandaa 'Gala Dinner' May 11

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 May 2019
Yanga yaandaa 'Gala Dinner' May 11

Yanga ikishamaliza mchakato ya uchaguzi wa kupata viongozi wapya utakaofanyika keshokutwa May 05, wiki ijayo itafanya tukio maalum la chakula cha jioni jijini Dar es salaam ambalo litafanyika Jumamosi tarehe 11/05/2019 Hotel ya Serena kuanzia saa kumi na mbili jioni.

Tukio hilo limeandaliwa na Kamati Maalum ya kuhamasisha michango Yanga ambapo wageni mbalimbali wakiwemo viongozi na watu mashuhuri wataalikwa

Aidha makundi yote yaliyochangia shilingi milioni moja au zaidi yatapewa kadi ya mualiko na kumteua mtu mmoja ambaye ataliwakilisha kwa niaba na hatimaye aweze kushiriki kwenye hafla hiyo ambapo atakabidhiwa CHETI MAALUMU cha shukrani kwa niaba ya kundi lake

Inaelezwa tukio la May 11 litawaziba midomo wale wote wanaobeza zoezi la uchangiaji linaloendeshwa na klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’