Mkomola aula Ukrane

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2019
Mkomola aula Ukrane

Mshambuliaji wa Yanga Yohana Mkomola ambaye alikuwa ametolewa kwa mkopo klabu ya African Lyon, amefuzu majaribio klabu ya Arsenal Kyiv inayoshiriki ligi kuu ya Ukrane

Klabu hiyo imeridhishwa na kiwango chake na inaelezwa tayari imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu

Mkomola aliyen'gara kwenye kikosi cha Serengeti Boyz mwaka 2017 wakati wa michuano ya AFCON U17, alitua Yanga misimu miwili iliyopita akisaini mkataba wa miaka mitatu

Hata hivyo changamoto ya kupata namba kwenye kikosi cha kwanza ilimfanya aombe kutolewa kwa mkopo huku akiendelea kufuatilia mipango ya kusakata kabumbu nje ya nchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’