Zahera awaita mashabiki uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2019
Zahera awaita mashabiki uwanja wa Uhuru

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru leo kuipa sapoti timu yao itakapokuwa ikichuana na Azam Fc

Zahera amesema wanahitaji nguvu ya mashabiki leo hivyo amewataka wajitokeze kwa wingi bila ya kuogopa

"Nimesikia hapa Tanzania wanasema Yanga ndio timu yenye mashabiki wengi kuliko timu ngingine lakini mbona mashabiki hao hawaonekani tunapocheza tofauti na timu nyingine?," amehoji Zahera

"Wanasema Yanga ni timu ya wananchi basi leo nawaomba waje kwa wingi uwanja wa Uhuru, wasiogope tumejiandaa kwa ajili ya kushinda"

Mchezo dhidi ya Azam Fc utaanza saa kumi kamili jioni ambapo viingilio ni VIP A Tsh 15,000/- VIB Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’