Kiungo Papi Kabamba Tshishimbi ambaye alikuwa majeruhi, amerejea kikosini tayari kwa mchezo dhidi ya Azam FC ambao utapigwa dimba la Uhuru kesho Jumatatu
Tshishimbi alikuwa nje kwa siku kadhaa akisumbuliwa na majeraha ya goti
Mcongomani huyo aliyerejea katika kiwango chake, amepona majeraha wakati muafaka ambao Yanga inakabiliwa na wiki ya michezo muhimu katika ligi na nusu fainali ya kombe la FA
ADVERTISE HERE