Yanga yajifua uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2019
Yanga yajifua uwanja wa Uhuru

Kikosi cha Yanga leo asubuhi kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatatu katika uwanja huo

Akizungumzia maandalizi ya kikosi chake, kocha Mkuu wa vinara hao wa ligi Mwinyi Zahera amesema maandalizi ya mchezo huo hayana tofauti na michezo mingine ambayo tayari wamecheza

Amesema Azam Fc ni timu yenye wachezaji wazuri hivyo wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na tahadhari kubwa

"Azam Fc ni timu nzuri, tutawakabili kwa tahadhari na umakini mkubwa. Nimewaambia wachezaji tunapaswa kuwa makini sana kesho ili tuweze kuibuka na ushindi"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’