Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaondoa waamuzi waliochezesha mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya KMC dhidi ya Simba uliopigwa jana uwanja wa CCM Kirumba na Simba kuondoka na ushindi wa mabao 2-1
Katika mchezo huo waamuzi walionyesha upendeleo wa dhahiri kwa klabu ya Simba

ADVERTISE HERE