Wachezaji walihitaji ufafanuzi wa baadhi ya mambo - Kaya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Apr 2019
Wachezaji walihitaji ufafanuzi wa baadhi ya mambo - Kaya

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omary Kaya amesema jana wachezaji walihitaji kuonana na viongozi wa timu hiyo lakini jambo hilo halikutokea kwa kuwa walipishana muda

Hata hivyo Kaya amesema viongozi leo walifika mazoezini na kuonana na wachezaji wote

"Jana wachezaji hawakugoma, bali walikuwa wakihitaji ufafanuzi wa mambo kadhaa kutoka kwa viongozi wao," amesema Kaya

"Walishindwa kuonana na viongozi jana baada ya kutofautiana muda, viongozi walifika wakati wachezaji wakiwa tayari wameondoka"

"Leo viongozi wameweza kuonana nao hapa mazoezini na tumewafafanulia baadhi ya mambo na baada ya mazoezi tutakutana nao tena"

"Nawataka Wanayanga tuendelee na umoja wetu, hizi habari ambazo zinaleta mpasuko sio njema kwa familia yetu"

"Tunaendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Azam ambao utapigwa Jumatatu bila ya kusahau mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya Lipuli Fc"

Nae Mwenyekiti wa Kamati ya Mpito Lucas Mashauri amesema wamezungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi na wamemaliza sintofahamu iliyokuwa imejitokeza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’