Majanga ya msimu uliopita yaikumba tena Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Apr 2019
Majanga ya msimu uliopita yaikumba tena Yanga

Wakati kikosi cha Yanga kikitarajiwa kuchuana na Azam Fc Jumatatu, April 29 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara, kocha Mwinyi Zahera huenda akalazimika kutumia wachezaji wa kikosi cha pili kufuatia mgomo unaofanywa na wachezaji wa kikosi cha kwanza

Leo Zahera aliamua kutumia wachezaji wa Yanga B kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam FC baada ya wachezaji wa kikosi cha kwanza kugoma tena kufanya mazoezi licha ya kufika mapema uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini, wakiwasubiri viongozi wa timu hiyo

Mwishoni mwa msimu uliopita Yanga ilikumbana na changamoto kama hii ya wachezaji kugoma wakishinikiza walipwe hali iliyopelekea kumalizia michezo ya mikaoni ikiwa na kikosi cha wachezaji 14

Tayari viongozi wa Yanga wamekutana na wachezaji na wameahidi kumaliza changamoto iliyopo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’