Yanga Princess yazinduka, yaichapa Baobab Queens mabao 4-2

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2019
Yanga Princess yazinduka, yaichapa Baobab Queens mabao 4-2

Wanamama wa Yanga Princess leo wamezinduka na kuwashushia kipondo wenzao wa Baobab Queens kwa kuwachapa mabao 4-2 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite uliopigwa uwanja wa Karume

Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Simba Queens, Yanga Princess leo iliingia dimba la karume ikiwa na shauku ya kupata alama tatu

Ushindi huo umeifanya Yanga Princess ifikishe alama 22 na kuendelea kujikita katika nafasi ya saba na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuendelea kubaki katika ligi hiyo msimu ujao

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’