Timu ya Wananchi, Wawekezaji ni Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2019
Timu ya Wananchi, Wawekezaji ni Wananchi

Na Dismas Ten

Young African Sports Club ,ilianzishwa February 11.1935 ,ni zaidi ya miaka 84 imepita toka Club pendwa ya wananchi kinara wa kuchukua ubingwa ligi kuu mara 27 ilipoanzishwa.

Tanzania,ikiwa na idadi ya jumla ya mikoa 31 na Wilaya zake 196 ,na jumla ya vyuo vikuu 71 Tanzania bara na visiwani ni wakati sahihi wa Yanga African Sports Club kutengeneza ,"Club Ambassador, " kila chuo kikuu na kila Wilaya.

Ni wakati wetu kuitengeneza Yanga ,katika mfumo thabiti wa uwazi na uwajibikaji katika kuwashirikisha wawekezaji wakubwa ambao ndio mashabiki.

Ukweli ulio wazi,Yanga African ,ndio timu yenye mashabiki wengi Tanzania kuliko timu yoyote ile ,sasa ni wakati sahihi wa kila shabiki wa Yanga ,kuwekeza mahaba na mapenzi kwa timu pendwa katika kutoa support ili tuweze kuitawala ligi ya Tanzania bara tunavyotaka.

Tutakuwa na mfumo wa kuchukua wanafunzi bora darasani katika nafasi 10 ,ambao ni mashabiki wa Yanga na kuwapa nafasi ya kupiga picha na wachezaji wao wanaowapenda.

Ni muda sahihi wa kufanya matendo ambayo yatuwezesha kuipeleka Yanga kwenye soko la hisa la Dar Es Salaam Stock Exchange [DSE] na kuanza kupigania kufanya vyema kwenye soko la kimataifa.

Yanga ni dhehebu na mashabiki ndio waumini wa hili dhehebu bora lenye harufu ya ubingwa unao tamalaki Jangwani.

Yanga Daima mbele nyuma Mwiko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’