Yanga kuweka kambi kuiwinda Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2019
Yanga kuweka kambi kuiwinda Azam Fc

Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo utapigwa Jumatatu ijayo, April 29 katika uwanja wa Taifa

Katika kuhakikisha Yanga inapata ushindi dhidi ya Azam Fc, vinara hao wa ligi kuu wanatarajiwa kuweka kambi maalum

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema baada ya mazoezi leo, benchi la ufundi litakuwa na kikao ili kufanya maamuzi ya wapi kikosi chao kitaweka kambi kujiandaa na mchezo huo ambao Yanga itakuwa mgeni

Yanga inayoongoza ligi ikiwa na alama 74, inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’