Ukiwa umebaki muda mchache kuelekea mpambano wa ligi kuu ya Vodacom kati ya wenyeji Njombe Mji dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, wenyeji wanaonekana kupania mchezo huo.
Tangu mapema asubuhi mashabiki wa Njombe Mji wameonekana kuwa wenye hamasa ya hali ya juu. Mitaani kumekuwa na shamrashamra zisizo za kawaida.

Mchezo huo unapigwa katika dimba la Sabasaba ukitarajiwa kuanza saa 10:00 jioni.
Chaneli ya Azam Sports 2 itaonyesha mpambano huo mubashara.
Mashabiki mapemaaaa uwanjani

Michezo yote ya leo

ADVERTISE HERE