Yanga yafanya mazoezi uwanja wa Sabasaba leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2017
Yanga yafanya mazoezi uwanja wa Sabasaba leo
Kikosi cha Yanga leo jioni kimepata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Sabasaba ambao utatumika kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kesho Jumapili dhidi ya Njombe Mji.

Mpaka sasa hakuna mchezaji majeruhi miongoni mwa waliosafiri kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Daktari wa Yanga, Dk Bavu.

Mchezo dhidi ya Njombe Mji utapigwa katika dimba hilo kesho kuanzia saa 10:00 jioni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’