Timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti Boyz imeyaaga mashindano ya AFCON U17 yanayofanyika nchini baada ya leo kukubali kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa Angola
Hicho ni kipigo cha tatu kwa Serengeti Boyz katika michuano hiyo pia ilifungwa na Nigeria 5-4 na Uganda mabao 3-0
Nigeria na Angola zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kutoka kundi A na kujihakikishia tiketi ya kushiriki fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil
ADVERTISE HERE