Tutarekebisha makosa - Ninja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Apr 2019
Tutarekebisha makosa - Ninja

Bekiwa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja', amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokuwa na wasiwasi, kwani kikosi chao kitarekebisha makosa na kufanya vizuri.

Ninja amesema hayo siku moja baada ya Yanga kuchapwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Ninja amewataka mashabiki wa Yanga kuendelea kuwa wavumilivu, kwani wanapambana kwa ajili ya timu hiyo.

"Naomba mashabiki wetu waendelee kuwa wavumilivu, kwani  wenyewe wanaona tunavyopambana na hata wanachotufanyia waamuzi," Ninja amenukuliwa na Bingwa

Alisema kwa sasa matokeo dhidi ya Mtibwa Sugar wameshayasahau na akili zao wamezielekeza kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Azam, ambao utachezwa Aprili 29, mwaka huu.

"Mpira ni mchezo wa makosa, ukifanya kosa moja wenzako wanakuadhibu, ila naamini benchi la ufundi limeona na tutafanyia kazi, ila kikubwa tunaendelea kuvumilia wakati tunazidi kupambana"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’