FT : Mtibwa Sugar 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Apr 2019
FT : Mtibwa Sugar 1-0 Yanga

Vinara wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga wamezidi kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro

Bao pekee la Mtibwa Sugar lilipatikana kwenye kipindi cha pili likiwekwa kimiani na Riphat Khamis kwenye dakika ya 52

Ni matokeo ambao yanaiweka Yanga kwenye nafasi finyu ya kutwaa ubingwa na kuipa nafasi kubwa Simba ambayo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa uwanja wa Mkwakwani

Bado mabingwa hao wa kihistoria wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 74 lakini kama Simba itashinda michezo yake yote ya viporo, itaweza kuizidi Yanga kwa alama 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’