Vijana wako tayari kwa mapambano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2017
Vijana wako tayari kwa mapambano
Kikosi cha Yanga tayari kiko mkoani Njombe ambapo kesho Jumapili kitashuka kwenye dimba la Sabasaba kucheza dhidi ya wenyeji wao Njombe Mji.

Huo ni mchezo wa pili wa ligi kuu ya Vodacom ambapo Yanga ilianza kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli katika mchezo wake wa kwanza uliopigwa kwenye dimba la Uhuru.



Ari ya wachezaji wa Yanga iko juu sana.

Tunatarajia mashabiki wa Yanga Njombe na maeneo ya jirani watajitokeza kwa wingi kesho kuipa sapoti timu yao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’