Buswita awapotezea wanaomjadili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
9 Sep 2017
Buswita awapotezea wanaomjadili
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita ameamua kuwapotezea wanaomponda kwa sababu ya tukio lake la kusajili timu mbili na sasa ameelekeza nguvu zake ndani ya kikosi chake kuhakikisha anapata nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza.

Kiungo huyo aliyeichezea Mbao FC msimu uliopita, baada ya tukio hilo, alipata adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja, lakini, baadaye aliachwa huru kwa sharti la kurudisha pesa za Simba ambazo ni Sh10 mil.

“Sipendi maneno, ndiyo maana nimeamua kujifanya kama sisikii vile yote wanayosema, kweli tatizo lilitokea lakini wanachokizungumza ni tofauti na ilivyo, wanasema nawatukanisha mawakala lakini ukweli naujua mwenyewe,”alisema Buswita bila kufafanua kwa undani akisitiza tatizo limeshakwisha.

“Sasa natizama yaliyo mbele yangu, nahitaji kuisaidia Yanga kupata mafanikio, japo kuna changamoto ya namba lakini nitapigania nafasi ili nicheze kikosi cha kwanza.”

Kwa hisani ya Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →