Serengeti Boyz yafa kiume mbele ya Nigeria AFCON U17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2019
Serengeti Boyz yafa kiume mbele ya Nigeria AFCON U17

Timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti Boyz, imeanza vibaya michuano ya AFCON U17 inyofanyika nchini baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kutoka kwa Nigeria katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa

Licha ya kupoteza mchezo huo, Serengeti Boyz ilicheza vizuri na hakika hawapaswi kulaumiwa

Edmund John aliifungia Serengeti Boyz mabao mawili moja likiwa la mkwaju wa penati huku mengine mawili yakifungwa na Kelvin John 'Mbappe' na Morice Abraham (p)

Vijana wa Nigeria walifunga mabao yao kupitia kwa Olatomi, Ubani aliyefunga mabao mawili, Amoo na Abraheem

Mchezo unaofuata wa Serengeti Boyz ni April 17 dhidi ya Angola kabla ya kumaliza hatua ya makundi kwa kuchuana na Uganda April 20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’