Droo ya makundi ya fainali za AFCON 2019 imefanyika leo nchini Misri ambapo Tanzania imepangwa kundi C pamoja na vigogo wa Afrika Senegal, Algeria na Kenya
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 21 2019 nchini Misri.
Haya hapa makundi yote;

ADVERTISE HERE