Maka Edward, Said Mussa wanaweza kuongeza kitu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2017
Maka Edward, Said Mussa wanaweza kuongeza kitu Yanga
Kiungo chipukizi Maka Edward na mshambuliaji Said Mussa ambaye alisajiliwa kutoka Serengeti Boys, ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga wakati wa maandalizi ya kuelekea msimu mpya.

Vijana hawa bado hawajaweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Yanga kwenye michezo miwili ya kwanza ya kimashindano tangu kuanza kwa msimu huu.

Bila shaka benchi la ufundi litawapa nafasi kwenye baadhi ya michezo kwani Yanga itashiriki mashindano si chini ya matatu msimu huu.

Maka ni mmoja wa viungo chipukizi ambao wanaweza kuisaidia Yanga wakipatiwa nafasi sawa na Saidi Mussa anayeweza kucheza kama mshambuliaji wa pembeni.

Wakati huu Yanga inapokabiliwa na majeruhi ya mara kwa mara ya wachezaji wake muhimu ni vyema benchi la ufundi likawaamini baadhi ya vijana walio nje ambao wameonyesha wanaouwezo.

Kwani njia pekee ya kuimarisha viwango vyao ni kuwapa nafasi ya kucheza ili wajiamini zaidi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’