Uongozi wa klabu ya Yanga umewasisitiza wapenzi, wanachama na mashabiki wa timu hiyo waendelee kuchangia timu yao ili iweze kufikia malengo iliyojiwekea mwishoni mwa msimu
Yanga leo imetoa orodha ya makundi ya mitandao ya kijamii(WhatsApp) yanayoongoza kwa kuichangia klabu hiyo

ADVERTISE HERE