Baada ya kuchukua alama zote sita kwenye uwanja wa CCM Kirumba, kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mwanza kurejea Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Mtibwa Sugar
Mchezo huo utapigwa April 17 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro


ADVERTISE HERE