Baada ya zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kukamilika, hatua inayofuata ni usaili kwa wagombea wote waliotimiza masharti
Zoezi hilo litafanyika leo na kesho, kisha orodha ya wagombea waliopita katika mchujo huo itatangazwa
April 11-13 zitakuwa siku za kupokea mapingamizi
Aprili 14-16 ni kupitia mapingamizi, Aprili 18-23, kuweka matangazo ya mapingamizi, tarehe 24-26 kukata rufaa na kusikiliza, kisha Aprili 30 hadi Mei 4, ni kipindi cha kampeni kwa wagombea
Uchaguzi utafanyika May 05
ADVERTISE HERE