Kamati ya Uhamasishaji Yanga yatinga bungeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Apr 2019
Kamati ya Uhamasishaji Yanga yatinga bungeni

Kamati ya uhamasishaji Michango Yanga ilikuwa bungeni leo baada ya kupokea mwaliko maalum

Kamati hiyo inayoongozwa na Dk Anthony Mavunde inatarajiwa kuzindua rasmi zoezi kubwa la uchangiaji mkoani Dodoma ukiwa ni mkakati wa kuhakikisha malengo ya kukusanya Tsh Bil 1.5 yanafikiwa

Yanga imedhamiria kukusanya kiasi hicho cha fedha ili kukiboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’