Yanga yavutwa shati Mtwara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2019
Yanga yavutwa shati Mtwara

Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Ndanda Fc dhidi ya Yanga umemalizika kwa sare ya bao 1-1

Ndanda walitangulia kufunga kwenye dakika ya 20 kupitia kwa Vitalis Mayanga hata hivyo Yanga ilisawazisha kwenye dakika ya 62 kupitia kwa kiungo Papi Tshishimbi

Mshambuliaji Amissi Tambwe alikosa mkwaju wa penati katika mchezo huo uliogubikwa na matukio ya hapa na pale

Matokeo hayo yanazidi kufifisha matumaini ya Yanga kutwaa ubingwa msimu huu

Yanga imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 68

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’