Baada ya kuwasili mkoani Mtwara jana, jioni kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi mepesi kwa ajili ya kuondoa uchovu wa safari
Leo vinara hao wa ligi kuu wanatarajia kujifua katika uwanja wa Nangwanda Sijaona kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Ndanda FC








ADVERTISE HERE